Ushawahi kufumaniwa basi tupe uzoefu wako.

Ushawahi kufumaniwa basi tupe uzoefu wako.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
 
Sijawahi kufamaniwa na mke wa mtu ila way back 2017 na mdogo wa jirani yangu night aisee haikuwa poa
Alikuja akajiridhisha dogo yuko ndani ilikuwa majira ya saa nne na dogo aliniambia wako harusini watachelewa kurudi
Alifunga mlango kwa nje (ilikuwa Geita nyumba zina komeo nje)
Akaenda kutoa taarifa huko kwa sungusungu
Nilivunja wavu wa dirisha la nondo(ningekuwa mnene ingekuwa hatari na bila ya kuwa na mazoezi) nikatoka nikafungua mlango nikamtoa dogo (18yrs) nikamuwahisha akazama ndani akatulia
Sungusungu walipokuja na shem wakakuta naangalia tv na mlango uko wazi kikapigwa kikao nikawaambia mi sikuwa na manzi yeyote story ikaisha
 
yani nifirwe nije nitoe ushuhuda wewe ni mzima kweli? kunasiri zingine tunafukiwa nazo kaburini hata mwanao huwezi kumwambia na unajiangalia kwenye kioo unajipiga kifuani mara tatu huku unasema nyani mzee anakwepa mishale mingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
yani nifirwe nije nitoe ushuhuda wewe ni mzima kweli? kunasiri zingine tunafukiwa nazo kaburini hata mwanao huwezi kumwambia na unajiangalia kwenye kioo unajipiga kifuani mara tatu huku unasema nyani mzee anakwepa mishale mingi
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom