Sijawahi kufamaniwa na mke wa mtu ila way back 2017 na mdogo wa jirani yangu night aisee haikuwa poa
Alikuja akajiridhisha dogo yuko ndani ilikuwa majira ya saa nne na dogo aliniambia wako harusini watachelewa kurudi
Alifunga mlango kwa nje (ilikuwa Geita nyumba zina komeo nje)
Akaenda kutoa taarifa huko kwa sungusungu
Nilivunja wavu wa dirisha la nondo(ningekuwa mnene ingekuwa hatari na bila ya kuwa na mazoezi) nikatoka nikafungua mlango nikamtoa dogo (18yrs) nikamuwahisha akazama ndani akatulia
Sungusungu walipokuja na shem wakakuta naangalia tv na mlango uko wazi kikapigwa kikao nikawaambia mi sikuwa na manzi yeyote story ikaisha