nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 479
- 671
Anaweza kuwa ndugu yako au rafiki yako hata mtu yeyote tu.
Mimi nakumbuka siku moja rafiki yangu alianza kubishana na kijana mmoja mtaani ghafla wakaja marafiki wa yule kijana waliokuwa wamekaa pembeni kuingilia ugomvi ule.Mimi nikaanza kumvuta rafiki yangu tuondoke binti hataki anang'ang'ania kubishana halafu wale vijana wakaanza kumzomea loooh dada naona kaganda tu mmh mi nikamuacha nikaenda kupanda bajaji nikaondoka maana niliona aibu mimi