USHAWAHI KUHISI AIBU KWA TENDO ALILOFANYA MTU MWINGINE

nadiegirlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
479
Reaction score
671
Anaweza kuwa ndugu yako au rafiki yako hata mtu yeyote tu.
Mimi nakumbuka siku moja rafiki yangu alianza kubishana na kijana mmoja mtaani ghafla wakaja marafiki wa yule kijana waliokuwa wamekaa pembeni kuingilia ugomvi ule.Mimi nikaanza kumvuta rafiki yangu tuondoke binti hataki anang'ang'ania kubishana halafu wale vijana wakaanza kumzomea loooh dada naona kaganda tu mmh mi nikamuacha nikaenda kupanda bajaji nikaondoka maana niliona aibu mimi
 
Alibanja nikaona noma.
 
hivi msimu wa uvunaji wa mihogo hiki kiangazi kweli bado haujaanza tu?
 
Toto kali ilkuw inatembea kwa maringo yote mara paa! kakwaa jiwe bila kuchelewa akang'ata ardhi Muhuuun isiwe issue nika take off to another way maana Daa! ¡AIBU NILIONA MIM!
 
Hilo wigi lako kama helment kubwa kushinda kichwa chako.
 
Yeah Wale wanaokuja kukejeli Mada za watu humu ndani wanatia aibu humu ndani sana nitawachomeka bia ya makalio we ngoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…