bulletface JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 354 Reaction score 390 May 25, 2022 #21 Others said: Upepo unapenda watu ujue! Click to expand... Usinifanye nicheke
Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 May 25, 2022 #22 KENZY said: Waafrika bhana ndio maana hata hiyo mizimu inatuponda mawe tu maana tunaamini vitu vya ajabu ajabu Click to expand... Na wewe unaamini kabisa kwamba ni mawe ya mizimu? Una tofauti gani na wanaoamini unachokiponda?
KENZY said: Waafrika bhana ndio maana hata hiyo mizimu inatuponda mawe tu maana tunaamini vitu vya ajabu ajabu Click to expand... Na wewe unaamini kabisa kwamba ni mawe ya mizimu? Una tofauti gani na wanaoamini unachokiponda?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 May 25, 2022 #23 Zabron Hamis said: Na wewe unaamini kabisa kwamba ni mawe ya mizimu? Una tofauti gani na wanaoamini unachokiponda? Click to expand... Niamini hivyo Mimi..😀
Zabron Hamis said: Na wewe unaamini kabisa kwamba ni mawe ya mizimu? Una tofauti gani na wanaoamini unachokiponda? Click to expand... Niamini hivyo Mimi..😀