Ushawahi kukutana na mwanamke mweny hii tabia?

Dah iyo mbaya sana mkuu mna weza kuumizana ..aya ume sema ana patikana wapi vile?
 
Ni tatizo la afya ya akili. Kitaalamu linaitwa SEXUAL MASOCHISM DISORDER.
 
Wanawake wanapenda sana hizo mambo ni vile wengi wanaogopa kufunguka kwa wenza wao

Treat her like a bitch, give her good dick ataikumbuka sana shoo yako maishani mwake na atakutafuta

Sema hapo kwenye kumng'ata too much
 
Dogo punguza kuangalia X-prn
 
Ana jini huyo,pia Kuna mahali aliuwa anafanyia ukatili tokea Akiwa mdogo,huenda nimtu wa aribu aiyekuwa anamfanyia hivyo kama mlevi au mhuni mvutaji bangi.huenda asiwe mwaminifu kwako Kwa kuwa unashindwa kutimiza mahitaji yake.
 
Huyo ana sexual masochism disorder. Ni hali inayohusiana na mwelekeo wa kingono ambapo mtu anapata msisimko wa kingono, au kuridhika kwa kuruhusu mwenzi wake kumtendea vitendo ambavyo vinasababisha maumivu au udhalilishaji. Hali hii inaweza kujumuisha shughuli kama vile kupigwa, kupigwa mateke, au vitendo vingine vya kimwili vinavyosababisha maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…