Ushawahi kukutana na mwanamke mweny hii tabia?

Haya yote na bado asubuhi mwalimu wa dhamu uwahi kazini utaweza!?,πŸ˜…
 
Hao ndo type yangu mlete tubadilishane nikupe wangu tufanye barter trade
 
I bet huyo Mwanamke ni mwenyeji wa Kanda ya Ziwa. Kule ukipiga show za kihindi wanakuona punga. Piga miti hasa ndiyo wanaona wamekutana na rijali
 
Nipe namba zake napenda sana mademu wa hivyo yani mputamputa tu ukivamia road umekufa naomba namba zake mkuu we si haumuwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…