BigBaba JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,908 Reaction score 9,040 Nov 22, 2017 #1 Ushawahi kumpenda mtu lakini yeye hata hataki kuonekana mko pamoja? Yaani anakukwepakwepa tu! Huo ndivyo *UHUSIANO* wangu na Pesa ulivyo kwa sasa ...........☹☹ Awamu hii Mambo si Mambo lakini bado nina imani na kijani kwa Tz Mpya. ☹
Ushawahi kumpenda mtu lakini yeye hata hataki kuonekana mko pamoja? Yaani anakukwepakwepa tu! Huo ndivyo *UHUSIANO* wangu na Pesa ulivyo kwa sasa ...........☹☹ Awamu hii Mambo si Mambo lakini bado nina imani na kijani kwa Tz Mpya. ☹
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Nov 22, 2017 #2 Kawaida sana,ni kwa viumbe wote,tafakari,chukua hatua...