Ushawahi kushuhudia mahusiano yaliyovunjika siku chache kabla ya ndoa

Ushawahi kushuhudia mahusiano yaliyovunjika siku chache kabla ya ndoa

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Katika mahusiano kuna watu huwa wanafikia hatua

1.tiyali wameshatoa mahali

2.tiyali wameshatambulisha kwa wazee

3.tiyali wameshatoa posa

Alafu linabakia swala la kufunga ndoa dakika ya tisini mambo kukamilika mtu mmoja anazingua hatokei siku ya harusi

mahusiano yanavunjika juu kwa juu

Au mwishoni mambo yanavurugika kama ushawahi kushuhudia hebu njoo utupe mkasa iliuweje
 
  • Thanks
Reactions: Lee
2 ni common ila yanakufa
 
Hii haijakidhi vigezo ila kuna mkuu humu aliwahi kupeleka kilio mahali...
 
Daah hii ilitokea siku kama 5 hivu kabla ya ndoa Jamaa walipoenda kupima, Jamaa akakutwa na ngoma while manzi Akiwa frsh kabisa, uzuri ni Kua jamaa hakuchakataga kabisa ile manzi walisubiria ndoa

Familia ya binti ikasimama kati ikagoma ndoa isifungwe, ikabidi tu ipigwe chini
 
Ila washauri wanashauri kwamba kabla ya kwenda na mashaidi nendeni kwanza wenyew mkacheki afya
 
Ikitokea ishu kama hiyo hua tunafanya hivi unaenda peke yako kwanza kuchek majibu yakiwa poa ndio unamchukua na manzi sasa.
 
Hii haijakidhi vigezo ila kuna mkuu humu aliwahi kupeleka kilio mahali...
Jamaa anaroho ngumu kama kokoto vile.
 
Back
Top Bottom