Ila washauri wanashauri kwamba kabla ya kwenda na mashaidi nendeni kwanza wenyew mkacheki afyaDaah hii ilitokea siku kama 5 hivu kabla ya ndoa Jamaa walipoenda kupima, Jamaa akakutwa na ngoma while manzi Akiwa frsh kabisa, uzuri ni Kua jamaa hakuchakataga kabisa ile manzi walisubiria ndoa
Familia ya binti ikasimama kati ikagoma ndoa isifungwe, ikabidi tu ipigwe chini
Jamaa anaroho ngumu kama kokoto vile.Hii haijakidhi vigezo ila kuna mkuu humu aliwahi kupeleka kilio mahali...
Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua
Kwa ufupi hii ni taarifa tu, so ushauri wako hautabadili chochote wala kuongeza chochote, vipi lakin uzima upo?? Ni hivi, mi huwa siumizwi alafu anayeniumiza akabaki salama, nikiumizwa mi nakuumiza mara 10 alafu fresh, maisha yenyewe mafupi haya, mi niwe na stress alafu wew ucheke ili kiwe...www.jamiiforums.com
Yakiamuaga kubumburuka haya hayana mbili Kwenye moja [emoji23]Ila washauri wanashauri kwamba kabla ya kwenda na mashaidi nendeni kwanza wenyew mkacheki afya
Daah sasa hapo kalibia familia nzima itajua kwamba jamaa amekanyaga wayaYakiamuaga kubumburuka haya hayana mbili Kwenye moja [emoji23]
Sio familia tu, watu walishaandaa taratibu zote utawaambia nini unadhani??Daah sasa hapo kalibia familia nzima itajua kwamba jamaa amekanyaga waya