Wavaa kobaz wakisikia mlio wa baruti tu wanakimbiaVipi na yale mapipa yaliyokuwa yanangurumishwa na wayahudi milimani, waarabu wakadhani ni mizinga wakakimbia wakidhani jeshi la israel lina silaha kali
Hahahaha hata mimi nilijua hivyoMi nilidhani trojan ni kirusi cha kompyuta na simu kumbe ni farasi wa mbao!