Ushawahi kutapeliwa, Ni mbinu gani walitumia ili sisi tujihadhari nazo?

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Wakuu,
Utapeli umepamba moto hasa mijini.unakuta umeenda na shida zako mjini unaishiwa kutapeliwa,

E bhana ee kuna siku nilikuwa kahama mjini,barabara ya mataa ya kushuka, nina elfu 40 mfukoni,jamaa akaja, "naulizia barabara ya mongolo" huku akinishika bega, kwa upole wangu nikaanza kumwelekeza, punde kidogo nikawa najihisi nimekunywa pombe,nikapoteza fahamu nilijikuta nipo chocho za stend ya CDT sina viatu,sina simu na sina hela. nikasema usijifanye wema sana mjini kwa mtu usiyemjua.

tuambie ulitapeliwa vipi?
 
Wewe hukutapeliwa, hiyo ni robbery.
 
Usimuamin anakuja et nisaidie simu Kuna mgeni katoka safarin m Sina Salio😹😹😹
 
Kuna chuma ulete wa kutosha mtaani tembeeni na mkaa au chumvi la mawe aisee
 
Back
Top Bottom