Ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji ili upate mpenzi?

Ushawahi kwenda kwa mganga wa kienyeji ili upate mpenzi?

Jeorpa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
317
Reaction score
160
Naomba kuuliza, hivi hiki kitendo cha kwenda kwa mtaalam wa kienyeji akusaidie kupata mpenzi ni kweli hua inafanikiwa?

Aliewahi kufanya hivi anijibu
 
Hufanikiwa sana
Tena usikute wale wa kuosha
Unaoshwa ukitoka
Nje unawakaa acha acha kabisa.
 
Mimi sijawahi..ila naamini upendo wakweli unatokana na nafsi ya mtu mwenyewe ikikolezwa na uaminifu bila kusahau kiungo muhimu kabisa ambacho ni Pesa.

Anyway ngoja waje kutoa muongozo walioondenda huko.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nakumbuka kuna mwaka nilienda kwa mganga wa kienyeji kisa mapenzi na ilikuwa hivi - Nilipofika tu pale kilingeni kwa mganga nikakuta kuna bonge la ugomvi kati ya mke wa mganga na mganga mwenyewe sababu ya ugomvi mke alikuwa anataka talaka yake na jamaa hataki kutoa ilinibidi niondoke bila kuaga ilikuwa miaka ya 86
 
Naomba kuuliza, hivi hiki kitendo cha kwenda kwa mtaalam wa kienyeji akusaidia kupata mpenzi ni kweli hua inafanikiwa?
Aliewahi kufanya hivi anijibu

Hatua uliyofikia sio nzuri mkuu,mganga ni pesa tu mkuu mizizi utatapeliwa bure
 
Back
Top Bottom