Nakumbuka kuna mwaka nilienda kwa mganga wa kienyeji kisa mapenzi na ilikuwa hivi - Nilipofika tu pale kilingeni kwa mganga nikakuta kuna bonge la ugomvi kati ya mke wa mganga na mganga mwenyewe sababu ya ugomvi mke alikuwa anataka talaka yake na jamaa hataki kutoa ilinibidi niondoke bila kuaga ilikuwa miaka ya 86