Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
Katika pitapita zangu YOUTUBE nikakutana na hii clip ya Bondia maarufu nchini Marekani miaka 1970-1980. Jina lake ni Sugar Ray Leonard, Bondia huyu alishawahi mchapa(K.O)Floyd Mayweather Sr.
Ndiye bondia wa Kwanza duniani kupata zaidi ya dola 100milioni kama zawadi za mapambano yake.
Mnamo june 20,1980 alipigana na Bondia aliyefahamika kwa jina la Robert Duran kutoka Panama. Mpambano huu uliishia kwa Leonard kushindwa kwa point.
Novemba 25,1980 wababe hawa walirudi tena uwanjani kwa pambano la marudiano.Sugar Ray akiondoka na kitita cha dola milioni 7, wakati Duran akipata dola milioni 8. Pambano lilinza vizuri tu lakini ilipofika raundi ya nane Kituko alichofanya Sugar ray kamwe hakitokuja kusahaulika

In round seven, Leonard started to taunt Durán. Leonard's most memorable punch came late in the round. Winding up his right hand, as if to throw a ---- punch, Leonard snapped out a left jab and caught Durán flush in the face. "It made his eyes water," Leonard said. He continued to taunt Durán mercilessly. He stuck out his chin, inviting Durán to hit it. Durán hesitated. Leonard kept it up, continuing to move, stop, and mug.
In the closing seconds of the eighth round, Durán turned his back to Leonard and quit, saying to referee Octavio Meyran, "No Mas." Leonard was the winner by a technical knockout at 2:44 of round eight, regaining the WBC Welterweight Championship. Leonard led by scores of 68–66, 68–66 and 67–66
Last edited by a moderator: