Ushawishi wa muonekano

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Muonekano wa mtu huleta ushawishi wa aina tofautitofauti kutokana na anavyoonekana(jinsi alivyo) hapa naongelea uvaaji,utembeaji n.k kiufupi ni muonekano wa nje.
muonekano umegawanyika ktk u hasi na u chanya!
kuna watu ukiwaona direct unaanza kumjaji kwamba huyu yuko hivi na hivi nadhani hili sote twafahamu...

Nguvu ya muonekano
muonekano wa mtu unanguvu ya ushawishi ambao ushawishi huo unaweza kuangukia ktk ubaya au wema kutokana na jinsi ulivyo.
hii nguvu ya muonekano inaweza kusababisha ukapata priority fulani kama kazi n.k
lkn kwa upande wa pili unaweza kuangukia pabaya! mfano mtu anaejiacha rafurafu akiwa mtaani akapigiwa mwano wa mwizi ni rahisi sana yeye watu kumdhuru coz ya muonekano.

Wengine hutumia muonekano wao kama pazia la kuficha kile akifanyacho ili kupumbaza jamii au watu fulani lkn wengine hufanya kwa wema mfano wapelelezi kujivika kama kichaa na kuonekana kama kichaa kweli lkn kumbe sivyo.

Yangu ni hayo tu kwaleo nawatakia weekend njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…