Uchaguzi 2020 Ushawishi wa Salum Mwalimu (CHADEMA) kisiasa huenda ni mara 5 zaidi ya Samia Suluhu (CCM)

Kumbuka mama Samia ni makamu wa rais, anafanya mambo kwa heshima na utaratibu kulingana na hadhi yake, anaongea kwa hoja, anachagua cha kuongea, anajua aongee nini kutokana na watu anaokutana nao, hawezi kubwabwaja hovyo tu kama salum mwalimu.
makamo kivipi? si ndo tupo kwenye kampeni bado hawajachaguliwa , n mgombea mwenza tu kama wagombea wenza wengine.
 
ingawa mm ni ccm, ila yupo mgombea mmoja wa chadema amefanya kampeni nzuri sana, bahati mbaya anakaa geita ila ningempa kura yangu! huyu apa

laiti kampeni za chadema zingekua ivi, tungekua na imani na uongozi
😘😘😘 Mkuu anavutia si hapa 😋😋. Labda we umempenda kihivo nini 😂😂😂
Back to your topic Mimi bhana yule kamanda mwanadada wa Muheza vijijini ndio ninaemkubali sana yaani.
 
Kumbuka mama Samia ni makamu wa rais, anafanya mambo kwa heshima na utaratibu kulingana na hadhi yake, anaongea kwa hoja, anachagua cha kuongea, anajua aongee nini kutokana na watu anaokutana nao, hawezi kubwabwaja hovyo tu kama salum mwalimu.
Hivi kweli ulishawahi kumsikia kwenye kampeni mama Samia Suluhu? Kama wewe ni mwanaCCM inaweza hata kumzomea kimoyomoyo. Yaani ni mwepesi sana.
 
Chama yetu hii banaaa imejaa tele mioyoni mwetu halafu muhuni mmoja na wahuni wenzie wanadhani eti wanaweza kuiua!!! Watasubiri sana!
 
Hata Magufuli hata awe nani, ndani ya CCM. Hakuna jipya uko baada ya miaka karibia 60, wapo wapo tu wanafilisi Tanzania yetu, kwa Ufisadi.

Ukweli ni kwamba CCM ya Magufuli imekataliwa Tanganyika na Zanzibar, Duniani na Mbinguni.
 
ingawa mm ni ccm, ila yupo mgombea mmoja wa chadema amefanya kampeni nzuri sana, bahati mbaya anakaa geita ila ningempa kura yangu! huyu apa

laiti kampeni za chadema zingekua ivi, tungekua na imani na uongozi
Naomba CCM wamuachie jimbo huyu dada
 
Huyu bibi hana mvuto na wala hajui kujenga hoja
 
Naomba ccm wamuachie jimbo huyu dada
una maoni kama yangu, ila sasa chama alichopo ndo tatizo! kuna watu wana hasira binafsi na CHADEMA mpaka uyu dada atashindwa kupita
 
Amekwama pale ulipoamuwa kuwa shabiki kama shabiki wa mpira. Kwa vile yeye ni CCM na wewe ni CHADEMA hata akijitahidi vipi utamuona amepwaya. Akiona mafikia mahali ambapo hata robo yake wewe hutakaribia, wewe endelea tu kumuonea wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…