Ushenzi wa kutekana ni matunda ya utawala wa Magufuli

Ushenzi wa kutekana ni matunda ya utawala wa Magufuli

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ninaita ushenzi kwakuwa ni matukio ambayo mtu mwenye akili timamu hawezi kuyashangilia wala kuyafanya.
Matukio ya kuuana na kutekana yapo worldwide ila kwa Tanzania kutekana kulirasimishwa rasmi 2015/2016 mara tu baada ya Magufuli kuingia madarakani.

Sasa wale vijana watekaji wapo bado pamoja na Magufuli kufa. Ni kama walipewa ruhusa rasmi . Watafanya watakufa, watastaafu na kuwarithisha wengine hiyo tabia

Wenyewe wanaona ni njia moja wapo ya kuchapa kazi na kumridhisha Rais.

Sasa watu wanatekwa ila kipindi cha Magufuli kutekwa ilikuwa ni jambo la kawaida mno.

Yule Mzee alaaniwe
 
Back
Top Bottom