BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Tamasha la nyota wa muizki wa R&N, Usher katika Super Bowl LVIII ndio Onyesho la Halftime lililotazamwa zaidi katika historia.
Siku ya Jumanne, Front Office Sports iliripoti kwamba kipindi cha dakika 13 kilikuwa na wastani wa kutazamwa mara milioni 129.3. Rekodi ya awali ilikuwa ya Rihanna wa Super Bowl LVII ambaye alitazamwa mara 121.018.
Idadi ya Watazamaji
USHER - Milioni 123.4
Rihanna - Milioni 121
Katy Perry - Milioni 121
Lady Gaga - Milioni 117.5
Coldplay - Milioni 115.5
Bruno Mars - Milioni 115.3
Madonna - Milioni 114
Beyoncé - Milioni 110.8
Black Eyed Peas - Milioni 110.2
Justin Timberlake - Milioni 106.6
Chanzo: Billboard