Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,093
Msanii wa RnB Usher amemlipa fidia Ex wake baada ya kumuambukiza gonjwa la zinaa ‘Herpes’ miaka kadha iliyopita. Kwa mujibu wa Radar Online, Usher ametoa dola milioni 1.1 kumaliza kesi iliyomkabili toka mwaka 2012. Usher Raymond alipata gonjwa hili katikati ya ya mwaka 2009 na 2010, baada ya kuanzisha mahusiano na mbunifu huyo wa mavazi, Usher alimwambia kuwa hana gonjwa hilo, ila baadae mwana dada huyo aliugua. Usher aliomba msamaha na kukiri kuwa na gonjwa hilo, alifunguliw kesi ya madai mjini Los Angeles sababu ni sheria kwenye mji huo kama una gonjwa la zinaa ni lazima kumfahamisha mpenzi wako Usher alitoa dola milioni moja na laki moja kumaliza kesi hii mnamo Dec. 28, 2012. [HASHTAG]#SammisagoNEWS[/HASHTAG]