ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Huku lindi kuna shughuli za rusha roho mataraabu au unyago mtoto anachezwa yaani kama kipindi hiki ndo zimefululiza kila siku na hasa weekend unakuta mtaani maspika yanapiga tu visengeli vigodoro vinachezwa nyumba mpaka nyumba watu wanagarauka na wanafupana pesa na sio siri watu wanapata hela kawaida kuchangiwa hata million 5 ila sharti uwe mchangiaji kwa wenzako.
Sasa kuna vijana mimi huwa napendana kuwashangaa pale ni ma MC mara nyingi wanakaa karibu na DJ ni vijana ambao wamachangamsha shughuli wanaita watu kwenda kutoa zawadi wanakuwa na maneno ya mipasho vichekesho n.k yaani wakianza kuongea hawachoki hawaboi kuwasikilizika sasa huwa najiuliza wanawezaje kuwa na kile kipawa je ni mtu anazaliwa na hio talanta au mazingira ya hayo mambo tu yanamfanya akariri maneno ya kuchangamsha umati.hata hawa wa kwenye harusi za mijini aisee ile kazi wewe ukipewa unaweza kweli kujaribu?