Ushikaji mimba kwa mwanamke mrefu na mfupi

Ushikaji mimba kwa mwanamke mrefu na mfupi

floow

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2017
Posts
411
Reaction score
855
Habar jf
Naitaji kujua tofauti ya mwanamke mrefu na mwanamke mfupi kwenye kushika mimba...

Kumekua na tetesi eti mwanamke mfupi hushika mimba kwa haraka zaidi coz kizazi chake kipo karibu..

Nipo kwenye mahusiano na mwanamke mrefu mwaka sasa,hajawah shika hata mimba 1 na sikuzote huwa tunaenda kavkav. ..
Kipindi cha nyuma nilishawah kua na mahusiano na mwanamke mfupi (sio sana) yeye alishika mimba mapema mno. ...

Nombeni kujua utofauti wao katika mfumo wa uzazi mw-mrefu na mw-mfupi
 
Hamna ushkaji wa mimba uko palepale haijalishi mrefu ama mfupi wanasema sperm zina kasi kama electricity hata kama uterus iko mgongoni zinafika right on time so your woman has got a problem take her for screening

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom