Habar jf
Naitaji kujua tofauti ya mwanamke mrefu na mwanamke mfupi kwenye kushika mimba...
Kumekua na tetesi eti mwanamke mfupi hushika mimba kwa haraka zaidi coz kizazi chake kipo karibu..
Nipo kwenye mahusiano na mwanamke mrefu mwaka sasa,hajawah shika hata mimba 1 na sikuzote huwa tunaenda kavkav. ..
Kipindi cha nyuma nilishawah kua na mahusiano na mwanamke mfupi (sio sana) yeye alishika mimba mapema mno. ...
Nombeni kujua utofauti wao katika mfumo wa uzazi mw-mrefu na mw-mfupi