Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani ananitesa kwa kunipangia zam ya kupika ilhali nikiwa mtoto wa kiume.
Mama yule alikua akinilazimisha kupika kwa kutumia kuni, tena nje huku wadada nilikuwa nikiwazoza wakipita na wakinicheka huku wakiwa wamevalia viatu vya losso na suruali za dontachi.
Nilivyosoma "nilivyopiga show ya kibabe" nikashtuka nikajua mambo ya Zero IQ.
Hongera mkuu umejitahidi sana ila nina mashaka kama hilo tembere umeweza kulichambua. Itakuwa umepika na kamba zake[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema wanaume ni wasafi sana kwenye kupika japo sio wote.
Mkuu, katika matajiri wa jf, mimi simo kabisa.
Lakini ninasema asante Mungu kwasababu tunao uhakika wa chakula cha kila siku, malazi na mavazi ya kila siku.