Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Teh ...Nzuri sana, inahamasisha show yakibabe
Wanazijua sana ila wanajifanyishaIla unajitahidi wengi hata nyanya chungu hawazijui au watakwambia hawazipendi.
Miaka 50 kama niliyonayoUzee unaanzia umri gani? [emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaha kwenye story ndio nilipotekwa huko mdakachozi ujue akili hunaBasi nitakuja kukuunga mkono kwenye story kule!
Mashabiki zako tusikukose kote!
HahahahaHahaha kwenye story ndio nilipotekwa huko mdakachozi ujue akili huna
Hahaha umeanza lini kuwa mshabiki wa story lakini mdakachoziHahahaha
Usisahau kunitag bhana mshabiki wako ukishusha mzigo mpya!
HahahahahaHahaha umeanza lini kuwa mshabiki wa story lakini mdakachozi