Ushindani uliowahi kusumbua mziki wetu miala ya 2000

Ushindani uliowahi kusumbua mziki wetu miala ya 2000

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Juma nature vs inspector haruni
ECT vs wanaume family
TID vs Dully sykes
Matonya vs MB dog
Marlaw vs Alikiba
Saida karoli vs maua
Diamond vs Belle 9
River camp vs N2N
Zay B vs Sister P
 
Kabisa mkuu na ile battle nadhani ilimuathiri afande kisaikolojia mpaka leo
Haikuwa battle ila ilikuwa reaction baada ya Sele kushinda mkali wa Rhymes

Na ndio Solo akatupa dongo lake, na haikuwa kwa Sele personal bali kwa wandaaji wa Tuzo kuwa kulikuwa na figisu nyuma yake

Sasa ukishadis tu utaratibu tafsiri itakuja kuwa aliyeshinda hana uwezo, vipengele vikaanzia hapo


Ila ule ushindi wengi waliona kulikuwa na makandokando nyuma yake rejea kwa Soggy, Solo, Jizze na wengineo, japo haimaanishi Sele hakuwa mkali
 
Mr blue vs kalapina

Mwamba naskia alipeleka posa kwa kina byser eti kazidisha kulamba lips
 
Back
Top Bottom