Ipo wazi kama ya mbuziKlop asipojiangalia ligi kuu hachukui, huyu gardiola naona anakuja kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
aiseeeeee.......hata siku moja tutakuwa kama ulayaMaisha ya Ulaya huwezi kufananisha na huku umasikinini...angalia Yanga wanasafiri masaa 15 kutoka Tanga kwenda Singida hakuna ndege alafu wanarudi masaa 15 tena Tanga...mikia wamerudi Misri kama mafungu ya dagaa
Ndo ukweli mtupu, imagine kagera sugar wanapoenda kucheza mtwara, kiulaya ni nchi tatu unakua ushazipita, na wanamiundombinu bora, sasa Africka umbali wa Tz to Egypt sio mchezo, lazima usafiri kwa siku kadhaa, bara la Afrika ni kubwa na miundombinu ni duni,, hivo kiratiba hatuwezi kuwa kama ulaya, ni padogo na miundombinu ipo vizuri hivyo timu husafiri harakaMaisha ya Ulaya huwezi kufananisha na huku umasikinini...angalia Yanga wanasafiri masaa 15 kutoka Tanga kwenda Singida hakuna ndege alafu wanarudi masaa 15 tena Tanga...mikia wamerudi Misri kama mafungu ya dagaa