chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Ukifika pakistani unaweza kushangaa kongoro lilivyo tengenezwa ila hapa kwetu tokea mchaga kugundua ni mfumo ule ule tu bila kujiongeza.
Leo hii wali wa wanaijeria ni tofauti na Ghana.
Au pilau ya india ni tofauti ya pakistani.
Tuje kwenye nchi zinauza chips mfano france,wingereza na USA ni tofauti.
Hapa kwetu nimepeleka mbali ni kutaka kuonesha kuwa biashara ya chakura ni biashara kumshinda mwijaku.Sababu ndio biashara ambayo wale wanaoingiza pesa ndefu kwa kutembea nchi za watu kujua aina za vya kula kupitia youtube.
Mfano hapa kwetu yani barabara ilipoanzia dar mpaka kumalizika mikoa kuna pilau na mapishi ni yale yale.