Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Feb 11, 2012 #1 Nahisi leo akuna atakae lalamika jamani kuhusu ushindi wa man u wameshinda kihalali ingawa makosa madogomadogo kwa refa ayakosekani zuri zaidi ni lile wimbi la ushindi wa penati sasaa basi tumeanza kushinda kihalali atutaki makelele
Nahisi leo akuna atakae lalamika jamani kuhusu ushindi wa man u wameshinda kihalali ingawa makosa madogomadogo kwa refa ayakosekani zuri zaidi ni lile wimbi la ushindi wa penati sasaa basi tumeanza kushinda kihalali atutaki makelele
Mkuu wa chuo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 7,620 Reaction score 5,335 Feb 11, 2012 #2 acha kujifanya Man U wewe!