Ushindi daima

Ushindi daima

Omari Makoo

Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
78
Reaction score
39
Asante Pogba kwa kuifanya Man U kuongoza kwenye mauzo ya jezi(jezi zilizouzwa ni milioni moja na laki saba)
Asante kwa magoli yako dhidi ya Fenerbahce
Asante Onyinye Ndidi(WA GENK) kwa goli tamu kabisa kupata kuonwa,goli lako liliisambaratisha kabisa Athletic bilbao
Asante sana Mtibwa kwa hawa wachezaji mliotupatia Mohammed Ibrahim,Shiza Kichuya pamoja na Mzamiru
VIVA SIMBA VIVA
VIVA GENK VIVA
VIVA MAN U VIVA
 
Back
Top Bottom