Ushindi dhidi ya Man U unaenda ku boost confidence ya wachezaji wa Arsenal

Ushindi dhidi ya Man U unaenda ku boost confidence ya wachezaji wa Arsenal

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
_fork_and_knife_ WE EATIN’ GOOD TONIGHT _honey_pot_ - arsenal - afc - premierleague - arsenalf...jpg


Katika vitu vilivyosumbua Arsenal kwa miaka mingi ni kupata ushindi dhidi ya Timu kubwa kwenye EPL , mara zote wamekosa kabisa kujiamini wanapopambana na timu hizo , na wamekuwa wakipigwa goli nyingi sana !

Lakini ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United unaenda kuitibu kwa kiwango cha juu sana wachezaji wa timu hii kisaikolojia , na nina hakika kuna makubwa zaidi watafanya
 
Matunda yameanza kuonekana

Arsenal 3 - 0 Rennes
 
Back
Top Bottom