Katika vitu vilivyosumbua Arsenal kwa miaka mingi ni kupata ushindi dhidi ya Timu kubwa kwenye EPL , mara zote wamekosa kabisa kujiamini wanapopambana na timu hizo , na wamekuwa wakipigwa goli nyingi sana !
Lakini ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United unaenda kuitibu kwa kiwango cha juu sana wachezaji wa timu hii kisaikolojia , na nina hakika kuna makubwa zaidi watafanya