Ushindi mzuri sana kwa Simba SC kutujengea ujasiri Mechi ya Robo Fainali

Moto wa mabua ndio umtishe mamelod? Mkishindaga uwa mnakuwa na maneno meeengiii kama wauza karanga, kwaiyo kumfunga kibonde horoya ndio mmejiona bayern munich mnaanza kujilinganisha na mamelod!
Na wewe ulikuepo kwenye mashindano haya,nini kilikufanya usifike makundi au nawe ulikua kibonde kwa uliyekutana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…