Nimepokea matokeo ya uchaguzi Tarime kwa furaha sana. Sisemi kwamba mimi ni mwanachama, ila matokeo yangekuwa tofauti hali ya amani iliyopo Tarime kwa sasa ingeharibika. Chama Cha Mapinduzi ninawashuri wakubaliane na matokeo hayo na kuanza kuweka mikakati ya kuijenga Tarime ili wananchi wasijione wapweke.