Elections 2010 Ushindi wa CUF Igunga ni Kulinda Kura

mkigoma

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
1,180
Reaction score
309
kutokana na kampeni zinazoendelea na kukubalika kwa mgombea wa CUF Leopold Mahona ni mambo ambayo yanayoonyesha ushindi wa wazi kwa mgombea huyo huku akiwa na kura za mtaji wa 11,321, ambapo baada ya vyama vya CCM na CDM baada ya kukosa mvuto katika mikutano yao sasa wameanza kutumia Helkopta ili kupata mvuto kwa wagombea wake hata hivyo mgombea wa CUF amesema kama wao watakimbilia angani atawafuata huko huko ambapo kesho ataanza mashambuizi ya anga kwa Helkopta.
 
Ahaa, vipi sheikh Al-sahaf a.k.a comical Ally. Nilidhani walikunyonga pamoja na Saadam. Kumbe bado u hai!
 
Hivi wewe unafikiri kuwa na helikopta ndio kushinda? wakumbushe tu CUF wasimalize mafuta ya kurudia Dar maana baada ya matokeo helkopta inaweza kuwa mzigo msije mkaipakia kwenye fusso.
 
Cdm inawashabiki igunga,CUF inawapiga kura IGUNGA.Hii ndo inawatia kihoro CDM kuhusu CUF mpaka wanajitahidi kuvuruga kila mkutana wa CUF bila mafanikio.
 
hii post nadhani utakua umeandika huku ukiwa umebanwa hapo KAHUMBA
 
kutokana na kampeni zinazoendelea na kukubalika kwa mgombea wa CUF Leopold Mahona ni mambo ambayo yanayoonyesha ushindi wa wazi kwa mgombea huyo huku akiwa na kura za mtaji wa 11,321, ambapo baada ya vyama vya CCM na CDM baada ya kukosa mvuto katika mikutano yao sasa wameanza kutumia Helkopta ili kupata mvuto kwa wagombea wake hata hivyo mgombea wa CUF amesema kama wao watakimbilia angani atawafuata huko huko ambapo kesho ataanza mashambuizi ya anga kwa Helkopta.
Hizi ni kampeni uchwara! Hao ccm B hawana lao bara!
 
Back
Top Bottom