hii post nadhani utakua umeandika huku ukiwa umebanwa hapo KAHUMBACdm inawashabiki igunga,CUF inawapiga kura IGUNGA.Hii ndo inawatia kihoro CDM kuhusu CUF mpaka wanajitahidi kuvuruga kila mkutana wa CUF bila mafanikio.
Hizi ni kampeni uchwara! Hao ccm B hawana lao bara!kutokana na kampeni zinazoendelea na kukubalika kwa mgombea wa CUF Leopold Mahona ni mambo ambayo yanayoonyesha ushindi wa wazi kwa mgombea huyo huku akiwa na kura za mtaji wa 11,321, ambapo baada ya vyama vya CCM na CDM baada ya kukosa mvuto katika mikutano yao sasa wameanza kutumia Helkopta ili kupata mvuto kwa wagombea wake hata hivyo mgombea wa CUF amesema kama wao watakimbilia angani atawafuata huko huko ambapo kesho ataanza mashambuizi ya anga kwa Helkopta.
Mpaka wamuombe radhi James Mapalala, mwanzilishi wa CUF. Ndio wananchi wa Tanzania bara watawaelewa.Hizi ni kampeni uchwara! Hao ccm B hawana lao bara!