Ushindi wa Jana tumsifu Mganga au Kocha?

Ushindi wa Jana tumsifu Mganga au Kocha?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Maana kila siku malalamiko kuwa Gamondi hana uwezo, timu imeshuka kiwango, lkn jana timu ilionekana kuwa na nguvu ya ugolo.

Ss hv kocha hasemwi wala hatukanwi, majigambo kwa kwenda mbele.

Naomba kuuliza ni yeye amebadilika ghafla hadi ushindi mnono ule au Mganga asifiwe?
 
hqdefault.jpg
 
1708850700355.png
 
Hayo Malalamiko yalete hapa ya kua kocha mbovu na kikosi kimeshuka kiwango tuyaone yalitolewa lini?.

RAGE WAKUPE HESHIMA YAKO
 
Sema wanawake wa saiv P2 zina waharibu Mtu amekupiga BAO 5 Bila KINGA tena kwenye siku zako na hujabeba Mimba.

Ila akipiga kwingine kimoja tu Mtoto anatungwa.
 
Back
Top Bottom