Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
My friends ladies, and gentlemen..
Ni wazi,
utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa zaidi ya 95% chini ya serikali sikivu ya CCM inayo ongozwa na rais kipenzi cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan kutamfanya achaguliwe tena kwa kishindo, kumalizia ngwe yake ya pili muhimu sana ya uongozi wa kitaifa kikatiba.
Kuaminika na kukubalika kwa Dr.Imannuel Nchimbi kwa wanainchi na waTanzania wote, kumechochea umoja na kuiimarisha CCM kwa kiasi kikubwa, huku ikiwakatisha tamaa na kuwadhoofisha wapinzani kwa kupoteza matumani kabisa ya kupata kiti hata kimoja kwenye uchaguzi mkuu wa udiwani, ubunge na hata URAIS.
Kuimarika, kuaminika na kukubalika kwa CCM kwa wananchi na waTanzania kwa ujumla, kama ilivyo sasa, ni matokeo ya mabadiliko ya uongozi wa juu wa chama na serikali sikivu ya CCM, na ufanisi wa kiwango cha juu sana katika katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 kwa ubora na viwango vya kimataifa.
Mambo haya yataongeza kwa kiwango na uhakika wa ushindi wa kishindo kikuu, kwa wagombea udiwani, ubunge na urasi wa CCM Oct.2025.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🌹
Mungu Ibariki Tanzania