Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, (Mb) akikabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Nahodha wa Timu ya Yanga Bakari Mwamnyeto baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa magoli 2 kwa 0 dhidi ya Real Bamako ya nchini Mali.
Mchezo huo uliochezwa Machi 8, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ni mfululizo wa mechi za Kombe la Shirikisho Barani Afrika.View attachment 2543285View attachment 2543286View attachment 2543287
View attachment 2543288