Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma, (Mb) akikabidhi zawadi ya Shilingi Milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Nahodha wa Timu ya Yanga Bakari Mwamnyeto baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa magoli 2 kwa 0 dhidi ya Real Bamako ya nchini Mali.