Ushindi mwembambaa alioupata hadi sasa aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Makongoro Mahanga kwenye kura za maoni katika Jimbo jipya la Segerea umepingwa na wagombea wote 11 wa jimbo hilo.
Inasemekana Mahanga kutoa rushwa, kuingiza kadi mpya za wananchama mamluki na wizi wa kura katika kata mbalimbali jimboni humo. Mpaka sasa kata mbili za Kipawa na Kiwalani matokea yake hayajatangazwa.
Hivi huyuu Mahanga si ndo anafaa kwa wapinzania kumburuza kiulaini kwani rekodi yake ni mbofuuu sana kiutendaji ndani ya Miaka 10 ya ubungee..Segerea mpooooooooooo.....