Ushindi wa Simba kwa Yanga upo hivi

Ushindi wa Simba kwa Yanga upo hivi

Chendembe

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
444
Reaction score
488
Kwa wanaohusika huko Simba
Nawajulisha kuwa ushindi wenu Kwa mtani wenu upo Kwa Katoro.

Kijana huyo tu ndie ambae hawezi fungwa Na Hao. Vinginevyo kipigo kipo palepale
 
Lazoma tuishimu Derby, maama ubora wa timu wakati mwingine sio kihezo cha ushindi....
 
Mechi tatu za mwisho
5-1
2-1
1-0
Kifuatacho ITV Ni kulalamika.
 
Kwa wanaohusika huko Simba
Nawajulisha kuwa ushindi wenu Kwa mtani wenu upo Kwa Katoro.

Kijana huyo tu ndie ambae hawezi fungwa Na Hao. Vinginevyo kipigo kipo palepale
SIMBA atabaki kuwa SIMBA
 
Hii mechi sasahivi hakuna cha uchawi wala Nini ubora ndio unaamua ndio maana unaona mechi tatu Simba hajashinda hats game moja

Tusiishi kwa mazoea aliye Bora atashinda hii mechi

Kama unataka kushinda wekeza
 
Back
Top Bottom