Ushindi wa Taifa Stars v/s Somaliani ni wakujivunia?

Gamaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2008
Posts
3,915
Reaction score
5,038
Wakuu hii mechi vp ni leo ni kesho. Mbona kimya sana mwenye updater pls.
 
Mechi imekwisha starz kashinda 6 bilaa wale wasomali wamekuja kuzamia nchini hakuna timu pale
 
Taifa stars leo walijiokotea libonde wao 6 bila mh







 
Naona wamembaka kiwete. Subirini mechi nyingine ndo tuwakubali manake hawa alshabab kwanza wananjaa halafu kiu.
 
Tuna muda mrefu sana timu yetu ya Taifa haijawahi kupata ushindi wa mabao mengi kama wa mechi ya juzi je! wana JF mnamaoni gani kuhusu mchezo wenyewe na timu zilizoshiriki, ni ushindi wa kujivunia kwa Taifa Stars?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…