johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata sasa sitashangaa Mzee Kikwete akirudi Siasani kwani upepo wa Siasa umeshabadilika
Namuona Tundu Lisu akiilazimisha CCM kuachana na Siasa za Uchawa na kuingia kwenye Siasa halisi kama enzi za TANU
Aidha CHADEMA itakimbiwa na Wasaka Fursa aina ya Yericko Nyerere na Wenje na watabaki Wapambanaji akina Twaha Mwaipaya ninayemtabiria kuchukua nafasi ya Tumaini Makene iliyoachwa Wazi kufuatia Msemaji yule wa CHADEMA kuhamia CCM
Lisu ameweka Wazi kuwa Zanzibar siyo kipaumbele chake kwa sababu Nchi ile ina Siasa za kihistoria za vyama viwili. Endapo Lisu na OMO wataingia mkataba wa Ushirikiano Siasa za Tanganyika na Zanzibar zitaingia kwenye ugumu zaidi
Tunaishi kwenye kizazi cha kuhoji kuanzia huko Chekechea hivyo Lisu atasaidiwa na Ukweli wake japo CHADEMA bado ni Kichuguu mbele ya Mlima CCM
Nasi CCM ni lazima tukubali ujio wa Lisu na Heche unaenda kutupa experience mpya tukatae Machawa na tujenge Kizazi cha uvccm wanaojitambua
Ahsanteni sana 😄