Elections 2010 Ushindi wa yanga jumamosi tar 16/10/20101 ni dalili za ushindi kwa ccm

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2010
Posts
1,005
Reaction score
82
Kwa kuwa rangi za jezi za timu ya yanga ni kajani na njano ambazo pia ni za CCM,natilia shaka kuwa ndio dalili njema kwa ushindi wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika tar 30/10/2010.jamani ni maoni yangu tu hayo....
 
Ridhiwani aliharibu uchaguzi yanga amenunua mechi ili kuwatuliza mashabiki wenye hasira na pia kutumia kama rungu la kupata wapiga kura wa kijani
 
Mtu kuwa mshabiki wa yanga na wakati huo huo kuwa mshabiki wa Mani yuu ni jambo linalowezekana.
Jinsi Ushindi au kushindwa kwa yanga kusivyokuwa na uhusiano wowote na kushinda au kushindwa kwa mani yuu, ndivyo hivyo vivyo ushindi wa yanga dhidi ya simba usivyo na uhusiano wowote na Ushindi wa kishindo wa CHADEMA dhidi ya ccm hapo 31/10/2010.
 
Kwa kuwa rangi za jezi za timu ya yanga ni kajani na njano ambazo pia ni za CCM,natilia shaka kuwa ndio dalili njema kwa ushindi wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika tar 30/10/2010.jamani ni maoni yangu tu hayo....

Kwanini isiwe ushindi wa kihistoria wa Simba mwaka huu (2010) ndiyo utoe ishara ni chama gani kitashinda?
 
Ndo na wewe umeamua kutoka hivi? Siyo lazima utoe mada mkuu waweza kuchangia nyingine. Sioni gist hapa!
 
icon1.gif
Ushindi wa yanga jumamosi tar 16/10/20101 ni dalili za ushindi kwa ccm

Kwa kuwa rangi za jezi za timu ya yanga ni kajani na njano ambazo pia ni za CCM,natilia shaka kuwa ndio dalili njema kwa ushindi wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika tar 30/10/2010.jamani ni maoni yangu tu hayo...

Hizi imani za kishirikina tuachane nazo. CCM ilishinda chaguzi za 1995 hadi 2005 na kuna nyakati katika vipindi hivyo Yanga ilikuwa inafungwa lakini hapakuwepo na uhusiano wowote na CCM kufanya vibaya kwenye uchaguzi...............Kwa taarifa yako mimi ni Yanga damu lakini uchaguzi ni Chadema na Dr. Slaa...........na nina imani wapo wengi walio hivyo. Michezo haina uhusiano na siasa hata kidogo........................
 
Kwa kuwa rangi za jezi za timu ya yanga ni kajani na njano ambazo pia ni za CCM,natilia shaka kuwa ndio dalili njema kwa ushindi wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika tar 30/10/2010.jamani ni maoni yangu tu hayo....

Kufungwa kwa Taifa Stars mbele ya JK ni dalili ya nini?

Kama hujui mpira bora unyamaze
 
Kwa kuwa rangi za jezi za timu ya yanga ni kajani na njano ambazo pia ni za CCM,natilia shaka kuwa ndio dalili njema kwa ushindi wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika tar 30/10/2010.jamani ni maoni yangu tu hayo....

Ina mana uchaguzi wa CCM ni tarehe 30/10/2010, nna wacwac kura zishachakachuliwa. Anyway uo wehu 2!
 
acheni upuuuuuuz,mnashibikia timu za chama cha mapinduzi halafu mjnajifanya hamuipendi sisiemu!!! lol! angalia IMANI MADEGA ALIINGIA KATIKA MCHAKATO KWA TIKETI YA SI SI EM,SI SI EM,SI SI EM AKABWAGWA,RAGE YUKO KATIKA MCHAKATO KWA TIKETI YA SI SI EM,SI SI EM! TUKO JUU WAUNGWANA,ILA WAROPOKAJI WA KUDANGANYWA KUWA KUNA KONTENA LA KURA LIMETOKA SAUZ KUMBE VIPODOZ!! WEHU GANI HUU?? ETI ANATAKA URAIS,UBUNGE WA KARATU ULIKUFAA SANA PADRE ???
 
Kwa kuwa rangi za jezi za timu ya yanga ni kajani na njano ambazo pia ni za CCM,natilia shaka kuwa ndio dalili njema kwa ushindi wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika tar 30/10/2010.jamani ni maoni yangu tu hayo....

Nafikiri wewe unaumwa!!!! Mbona Taifa Stars walipofungwa yeye mwenyewe akiwepo uwanjani hukutoa hizo dalili??
 
Kwa kuwa rangi za jezi za timu ya yanga ni kajani na njano ambazo pia ni za CCM,natilia shaka kuwa ndio dalili njema kwa ushindi wa CCM katika uchaguzi utakaofanyika tar 30/10/2010.jamani ni maoni yangu tu hayo....

Baada ya ushindi wa Yanga pale Kirumba, wapenzi wa timu hiyo walionekana wakishangilia kwa nguvu ccm! ccm! ccm! hivi miongoni mwao kama walikuwemo wapenzi wa Yanga ambao ni Chadema nao wliimba hayo maneno?
 
Back
Top Bottom