kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Ndugu wanajamvi,
Pokeeni salamu zangu kutoka huku kwetu ORKEJU LOONGISHU wilayani Longido mpaka ulio karibu kabisa na Kenya.
Leo usiku uliopia tumemshuhudia Mwaandishi wa Vitabu mashuhuru na mwenye kipaji cha kipekee nchini mwetu na Mwanasiasa maarufu na mwanachama wa chama.kikuu cha upinzani ambacho kinatunyima mimi na makada wenzangu wa CCM Usingizi akiwepi MAKALA ,Kichawa Lucas Mwashambwa na wengine wengi
Ndugu yetu Yeriko Nyerere akishinda kwa mara nyingine tena mwaandishi wa vitabu bora Africa kwa Tuzo Mbili kwa mpigo.
Cha kusikitisha ni hakuna hata kiongozi kutoka mamlakani aliyeonyesha kufurahishwa na jambo hili wala chombo cha habari cha ndani kuarifu watanzania wazalendo kuhusu ushindi huu mkubwa wa mtanzania mwenzetu, wenye kuleta heshima kwa taifa letu zaidi ya MWANANCHI GAZATTE.
Ninachotaka kusema.
Watawala muache double standards.
Kuna zaidi ya utaifa na utanzania wetu.
Itikadi ni sehemu tuu ya maisha, Lkn utaifa wetu ni kitu cha msingi sana
Angeshinda mabilioni akaaa kila mtuu angekuja ooo sisi ni wetu.
Credit to Mwananchi communication Ltd 👏
Kudos Yeriko Nyerere.