SoC03 Ushirika baina ya mfanyabiashara na mkusanya mapato

SoC03 Ushirika baina ya mfanyabiashara na mkusanya mapato

Stories of Change - 2023 Competition

lydiakilulu

New Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
3
Reaction score
3
Kumekuwa na mkanganyiko tati ya mkusanya MAPATO na mfanya biashara, kwakila mmoja kumuona mwenzake nimkosefu na mwisho wasiku husababisha mapoto kushuka, bila kujua wote wanafanya kazi moja yaukusanyaji kwaajili yakujenga Taifa.

Nini kifanyike:

Kwanza - Elimu itolewe kwa wafanyabiashara wajue kuwa wao hawalipi Kodi Bali wanasaidia Serikali kukusanya mapato kwenye jamii yake anapofanyia biashara hiyo husika, pale mteja wake anapoenda kununua bidhaa kwaajili ya matumizi ya mwisho.

Pili - TRA watambue kuwa Wao na WAFANYABIASHARA wanafanya kazi moja, pia TRA inatakiwa kuhusika katika biashara yahuyu mfanyabiashara iweze kukua kwakumuongezea Mbinu au Hata kumsogezea bodi za Mikopo kwa wao kuwa mdhamini wake.

Tatu - TRA na Maafisa biashara wa Kijiji husika wanatakiwa washirikiane na WAFANYABIASHARA kuhakikisha biashara inakua kila mwaka.

Mwisho TRA wajue biashara za wafanyabiashara zikikua ndivyo mapato ya ukusanyaji Kodi huongezeka, na Mwisho Serikali iweke mfumo wa sheria wa ukusanyaji Kodi wa faida tu ya mfanyabiashara aliyopata katika mauzo yake nasio mtaji wake, kwakuwa Kodi ya wananchi iko ndani ya faida ya mfanyabiashara nasio katika mtaji wake.

Hitimisho; Ni Bora kuwa na WAFANYABIASHARA ambao biashara zao zinakua na mapato kuongezeka kuliko kuwa na WAFANYABIASHARA wasiokua na mapato kutokuongezeka kwasababu tu ya uzembe wakutoshirikiana.
 
Upvote 2
"Kodi ichukuliwe katika faida ya mfanya biashara na si katika hesabu ya mtaji wake" uko vizuri, hii nimeipenda.
 
Ndio Kaka kwakuwa mtaji niwamfanya biashara lakini faida ndio yawote maana Serikali nikama mwanaisa wa mfanyabiashara.
 
Back
Top Bottom