Wakuu habari zenu,
Niko najaribu kuwaza tu kwanini ushirika ulikufa yawezekana sababu zipo, lakini zikawa hazina mashiko sana.
Tufanye nini ili kuinua na kufufua upya vyama vya ushirika vyenye nguvu na endelevu?
Nakaribisha maoni, ushauri, kukosoa vyama vya ushirika na bila kusahahu taasisi maalumu zinazofundisha na kuelekeza kuhusu ushirika.
Karibuni
Wiser1