Ushirika: Kwa pamoja tujenge uchumi endelevu na wenye nguvu

wiser1

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
2,541
Reaction score
3,872
Wakuu habari zenu,

Niko najaribu kuwaza tu kwanini ushirika ulikufa yawezekana sababu zipo, lakini zikawa hazina mashiko sana.

Tufanye nini ili kuinua na kufufua upya vyama vya ushirika vyenye nguvu na endelevu?

Nakaribisha maoni, ushauri, kukosoa vyama vya ushirika na bila kusahahu taasisi maalumu zinazofundisha na kuelekeza kuhusu ushirika.

Karibuni
Wiser1
 
Tatizo wachangiaji wengi hapa hawaelewi hayo mambo ya vyama vya ushirika...kizazi kipya. Ingekua busara ukaelezea japo kwa uchache vilikuaje, shughuli zake na vilikufaje. Itasaidia kutoa mwanga kwa wachangiaji kutoa maoni na mapendekezo yao.
 
Asante mkuu nitaelezea watu waelewe!
 
Adui wa ushirika ni siasa mbovu na hizo hizo siasa ndio zimetufikisha hapa tulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…