Sking zone
Member
- Jun 20, 2024
- 12
- 7
USHIRIKI WA WANAWAKE KWENYE SIASA
NA MAONO JUU YA TANZANIA TUITAKAYO
**********************************************
Ulikuwa ni siku ya Jumapili amabpo nilikuwa nimepumzika chini ya mti mzurii wenye kivuli na upepo uletao faraja, Mara ghafra akili yangu ikaama na kuanzakuwaza Mambo mengi Sana, nilijikuta nawaza mwenyewe huku nikiteta mwenyewe kwenye moyo wangu
"Maendeleo ya kisisa yamekua juu baada ya ongezeko la wadau wa SIASA wa jinsia ya kike ambapo wameweza kuwania nafasi mbalimabali kwenye nyanja mbalimbali hapa nchini
WANAWAKE kujihusisha na SIASA pia imeweza kyleta Chachi kubwa kwa watoto wakike kuweka malengo makubwa juu ya ndoto zao za hapo baadae ambapo wapo pia wanaotaka kuwa wanasiasa nguli kwa mfano was kuigwa kwa rais was jamuhuri ya muungano was Tanzania dr, Samia suluhu Hassan.
Pia swala la WANAWAKE kujihusisha na SIASA imepelekea ongezeko la usawa kwa jamii zetu kulinganisha na hapo kabla ambapo WANAWAKE hawakujihusisha na SIASA, kwa Sasa heshima kwa jinsia zote imepanda na usawa umekua zaidi, na kyleta tija ya kuleta maendeleo hapa nchini
Suala la WANAWAKE kujihusisha na SIASA pia limepunguza mawazo potofu ya watu kuwa WANAWAKE Ni viumbe dhaifu baada ya kuona wanavyo pambana na kyleta mabadiliko katika nchi mfano Dr, ummi mwalimu amekua chachu kwa watu wengi kwani anafanya mambo ambayo yanaleta tija kwa jamii mzima ukilenga upande wa afya
Suala hili lilionekana Kama ndoto hapa kwetu nchini kwani Mila potofu zilijaa kwenye fikra za watanzania wengi kuwa SIASA ni swala ama jambo la wanaume pekee na haikukumbukwa kuwa hata wakati was baba wa taifa mwalimu Julius kambarage nyerere palikua na WANAWAKE nyuma yake mfano Ni Bibi titi, lakin hata Sasa tunaona namna mwanamke anavyo weza kuongoza nchi kwenye ngazi mbalimbali Kama urais, ubunge, madiwani, na hata wenyeviti wa mitaa na vitongoji na hata kuleta maendeleo.
Na ikumbukwe pia SIASA ni wito Kama wito kwenye nyanja zingine, na uongozi Ni kipaji kwa maana kiongozi anazaliwa nawala hatengenezwi Kama Hana wito wa nyanja hiyo nyeti, na itambulike kuwa uongozi na SIASA Haina ukingo kuwa ni jinsia fulani inayo hisika kwa mfano wanaume pekee ndio wanaopaswa kujihusisha na SIASA, Bali Ni mtu yeyote mwenye wito na moyo juu ya nyanja hiyo nyeti.
Lakini pia ikumbukwe kuwa uongozi Bora sio jinsia, kwamba WANAWAKE hawawezi, hapana, na hakuna usadiki yakua WANAWAKE hawapaswi kujihusisha na SIASA, Bali Ni Imani potofu iliyojengwa tangu enzi kuwa WANAWAKE hawapaswi kutoa hoja kunzia ngazi za kifamilia na hata kitaifa, La hahaha!!, Sasa tunaona nikwa namna gani hoja madhubuti zatolewa na WANAWAKE na zenye tija kwa kujenga taifa la Tanzania.
Uhusishaji was WANAWAKE kwenye SIASA unatija hata kwa kizazi kijaxho kwani itakua Kama chachu kwa WANAWAKE kutokujihisi wanyonge, na hivyo kufanya Mambo yenye kunufaisha jamii ili heshima ibaki na ikue zaidi, na ushindani wa kijinsia kwenye SIASA Haina tija kwani unavunja misingi ya demokrasia ya nchi hii, kwani Ni Kila mtu anayo Haki ya kujihusisha na SIASA, na itapelekea kudolola kwa maendeleo ya nchi, kiuchumu na hata kijamii.
Hivyo basi maoni bunifu yanayoweza kuifanya na kuiumba Tanzania tuitakayo yabidi kuondoa dhana potofu juu ya nafasi ya mwanamke katika jamii yetu ya kitanzania, kuboresha mifumo ya uongozi Bora kuanzia ngazi ya familia Hadi kitaifa, kutoa nafasi kwa vijana was jinsia zote hasa wakike maana wameachwa nyuma Sana, kwenye nyanja zote kisiasa kiuchumi na kijamii, kuwapa nafasi WANAWAKE katika taasisi mabalimbali Kama TAKUKURU, TRA na kadharika, na kuzingatia misingi ya uongozi Bora huku ikitoa mianya kwa vijana bunifu ili kuijenga sayansi na teknolojia ya nchi yetu, na pia kuimarisha umoja na amani ya nchi ili kuleta ushawishi kwa nchi zingine kuwekeza kwenye nchi yetu na kushare ideas mabalimbali na hataye nchi yetu kufaidika"
Nilipo kuwa nawaza Mambo hayo niliipata hamasa ya kuongea na wakubwa wangu pale nyumbani nakumbuka nili mwambia baba mama na baadhi ya viongozi was mtaa wangu, na hatime walinipongeza na kunipa moyo juu ya maono yangu juu ya kuijenga Tanzania yetu.
Nilifurahika Sana na swala hili na likanipa moyo na hata kutotamani kipoteza dira ya maono yangu juu ya mawazo Yale.

Upvote
2